MADIWANI MANISPAA YA ILALA WAENDELEA NA MAFUNZO HOMBOLO NA LEO WAJIFUNZA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU KATIKA MSM

Habari Picha na Hashim Jumbe-Dodoma
Muwezeshaji kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa-Hombolo, Bw. Henry Kandore akifundisha mada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu katika MSM wakati wa Mafunzo ya Madiwani kutoka Manispaa ya Ilala
Diwani wa Kata ya Kitunda, Mhe.Nice Gisunte akifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Bw. Henry Kandore leo asubuhi


Afisa Ugavi kutoka Manispaa ya Ilala, Bw. Vincet Odero wa kwanza kulia, sambamba na Mhe. Shukuru Dege ambaye ni Diwani wa Kata ya Mnyamani na Mwenyekiti wa Kamati ya Mipangomiji na Mazingira, Mhe. Mshamu wakifatilia mada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu katika MSM






Diwani wa Kata ya Jangwani, Mhe. Abdul Faraji akiuliza swali kwa Muwezeshaji baada ya uwasilishaji wa mada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu katika MSM




Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi