Habari Picha Na: Hashim Jumbe
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema akipata maelekezo ya namna ya kuendesha kilimo cha Mjini kinachotumia eneo dogo na kupata mazao mengi, maarufu kama kilimo cha maghorofani |
Banda la kutolea huduma ya kwanza ni miongoni mwa huduma unazoweza kuzipata ukiwa kwenye banda la maonesho la Nanenane mkoani Morogoro. Huduma kama ya upimaji wa presha utaipata bure. |
Meya wa Manispaa ya Ilala, Mhe. Charles Kuyeko akipata maelekezo ya namna ya uendeshaji wa Jiji Saccos iliyopo Dar-es-Salaam |
Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika Bi. Esther Masomhe akimuongoza Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe kutembelea banda la maonesho ya Nanenane la Manispaa ya Ilala |