Habari Picha Na: Hashim Jumbe
Afisa Ustawi wa Jamii amabye ni Mratibu wa dawati la Wazee Manispaa ya Ilala, Bi. Lilian M. Chillo akitoa maelezo ya utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kupata kadi ya matibabu bure kwa Wazee, akiongea wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wazee yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja |
Baadhi ya Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Ilala pamoja na Watumishi wakifuatilia Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja |
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Mhe. Omary Kumbilamoto akitoa neno la shukrani kwa Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani |