Na: Hashim Jumbe
Watumishi wa Manispaa ya Ilala, wameitumia siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi Oktoba kufanya usafi kwenye maeneo ya fukwe za bahari ya Hindi eneo la Posta ya zamani, ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linalomtaka kila Mtanzania kushiriki kwenye usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Pamoja na zoezi hilo, Manispaa ya Ilala pia ilifanya uhamasishaji wa usafi kwa Jamii kujitokeza kusafisha maeneo yao huku Kikundi cha Ukimbiaji 'Jogging' toka Vingunguti kikiungana na Watumishi wa Manispaa ya Ilala kwenye zoezi hilo la usafi