Mkuu wa Shule ya Sekondari Magoza Mwl. Mgome akitoa maelezo ya hatua iliyofikiwa kwa mkurugenzi wa manispaa ya ilala. |
Madarasa yanayojengwa shule ya sekondari Juhudi kata ya Gongo la mboto/ |
Mkugenzi wa Manispaa ya Ilala akipata maelezo toka kwa mwenyekiti wa kamati ya Ujenzi shule ya Sekondari Pugu Station
Mkurugenzi akipata maelezo toka kwa makamu mkuu wa shule ya Sekondari Ulongoni kata ya Gongo la Mboto. |