Na David Langa
Walimu wa Klasta ya Ukonga walikutana kwa pamoja na Afisa Elimu wa Idara ya Elimu ya Msingi Bi. Elizabeth Thomas katika ukumbi wa Wenge Garden iliopo Ukonga mombasa.
Semina hiyo ilihudhuriwa pia na wafanyakazi wa Banki ya NMB ambao waliahidi kuwakopesha walimu vyombo vya usafiri kama vile Bajaji, pikipiki na Magari kwa masharti nafuu.

Meneja wa Bank ya NMB tawi la Uwanja wa Ndege Bi. Helen Mapunda akiongea katika kikao cha walimu Klasta ya Ukonga. |
Mkuu wa Klasta ya Ukonga ambaye ni Afisa Elimu Msaidizi Mw. Stambuli akitoa mada na kumkaribisha afisa Elimu Manispaa ya Ilala Bi. Elizabeth Thomas. |
Afisa Elimu idara ya Elimu Msingi Manispaa ya Ilala Bi. Elizabeth Thomas akiongae na walimu Klasta ya Ukonga. kulia kwake ni Afisa Elimu anayeshugulika na Mazingiza Mwl. Hamis Mlangala. |
Wakuu wa shule wakiwapungua wageni waalikwa katika siku hiyo ya walimu Ukonga. |
Walimu toka shule mbalimbali wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa katika siku hiyo ya walimu Klasta ya Ukonga. (Picha zote na David Langa) |