SHULE YA MSINGI GONGOLAMBOTO JESHINI YANUFAIKA NA MADAWATI YA HARAMBEE CHANGIA DAWATI

Na: Hashim Jumbe
Shule ya msingi Gongolamboto Jeshini ni miongoni mwa shule zilizonufaika na mgao wa madawati kupitia kampeni maalum ya harambee ya kuchangia dawati kwa mkoa wa Dar-es-Salaam. Madawati 200 yaliyotolewa na EWURA na DAWASCO yamekabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sofia Mjema kupitia kituo cha habari cha Channel Ten.















Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi