Na: Hashim Jumbe
Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamiii, Halmashauri ya
Manispaa ya Ilala ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Greyson Siwila imefanya
ziara ya siku mbili kukagua miradi na shughuli za kimaendeleo zinazofanyika
kwenye Manispaa hiyo.
Ziara hiyo ilitoa nafasi kwa Kamati ya Uchumi na
Huduma za Jamiii kutembelea maeneo mbalimbali na kujionea namna ya utolewaji wa
huduma unavyofanyika katika maeneo hayo pamoja na changamoto zilizopo kwenye
utoaji wa huduma hizo.
Maeneo yaliyotembelewa ni pamoja na Zahanati ya
Kinyerezi, Shule ya Sekondari Kisungu, Shule ya Sekondari Magoza, Zahanati ya
Malechela, Soko la Buguruni, Hospitali ya Amana, Shule ya Msingi Mchikichini,
Zahanati ya Buyuni, Kituo cha Watoto Yatima (SOS) na Kituo cha Watoto Yatima (Kind Heart)
Zahanati ya Kinyerezi
Zahanati ya Kinyerezi
Shule
ya Sekondari Kisungu
Shule
ya Sekondari Magoza
Zahanati
ya Malechela
Soko
la Buguruni
Hospitali
ya Amana
Shule
ya Msingi Mchikichini
Zahanati
ya Buyuni
Kituo
cha Watoto Yatima (SOS)