Na: George Mwakyembe
Safari ya mwisho ya aliyekuwa Diwani wa Viti Maalum-Tabata Mhe. Deborah Sanga aliyefariki Dunia siku ya Alhamis tarehe 25 Mei,2017 na kuzikwa Jumatatu ya tarehe 29 Mei,2017 kwenye makaburi ya Kinondoni. Mhe. Deborah Sanga atakumbukwa kwa mchango wake kwa Halmshauri ya Manispaa ya Ilala kwa kipindi alichohudumu kama Diwani wa Viti Maalum. Mungu ailaze pema roho yake peponi