Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Nash MC wa kwanza kushoto akikabidhi
kwa Wawakilishi wa Manispaa ya Ilala CD ya wimbo maalum kwaajili ya
kuhamasisha maonesho ya Nane Nane kwa Manispaa ya Ilala, yanayotarajiwa
kufanyika Mkoani Morogoro kwa Kanda ya Pwani. |