Na: Hashim Jumbe-Dodoma
Madiwani wa Manispaa ya Ilala, leo wameendelea na mafunzo ya kujengewa uwezo yanayofanyika katika Chuo cha Serikali za Mitaa-Hombolo, ambapo asubuhi ya leo walipitishwa katika eneo la Manunuzi na Usimamizi wa Mikataba katika ngazi za chini.
Katika mada hiyo, Madiwani walijengewa uwezo katika maeneo yafutayo; Maana ya Manunuzi, Mchakato wa Manunuzi, Misingi ya Manunuzi ya Umma, Hatua za Manunuzi, Njia za Manunuzi, Usimamiaji wa Mikataba ya Manunuzi na Mambo muhimu juu ya Mikataba.

Muwezeshaji toka Chuo cha Serikali za Mitaa-Hombolo Bwana Muhsin Danga akitoa elimu kwenye eneo la Manunuzi na Usimamizi wa Mikataba katika ngazi za chini |
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Charles Kuyeko akifuatilia somo la leo kwenye semina ya Madiwani wa Manispaa ya Ilala inayoendelea kwenye chuo cha Serikali za Mitaa |
Afisa Ugavi Manispaa ya Ilala Bwana Vincet Odero ni mmoja wa Washiriki kwenye Semina ya kuwajengea uwezo Madiwani wa Manispaa ya Ilala |