Habari picha na: Hashim Jumbe
Meya Kuyeko akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa Wazazi wa Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Lubakaya |
Mstahiki Meya Charles Kuyeko akipokea risala toka kwa Mwalimu wa shule ya msingi Lubakaya |
Afisa Uhusiano Manispaa ya Ilala, Bi. Tabu Shaibu akitoa salamu za Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala wakati wa hafla ya kupokea jenereta lililotolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala |
Meya Kuyeko akiagana na Wanafunzi wa shule ya msingi Lubakaya baada ya kukabidhi jenereta shuleni hapo |
Wanafunzi wa shule ya msingi Lubakaya wakifurahia jenereta hilo ambalo limekuja kuwasaidia kuondosha adha ya maji shuleni hapo |