Timu ya ufuatiliaji wa ujenzi na ukamilishaji wa miundombinu ya Shule za Sekondari yakutana na Kamati za Maendeleo ya Kata

Timu ya ufuatiliaji wa ujenzi na ukamilishaji wa miundombinu ya Shule za Sekondari kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2024, leo tarehe 27 Januari, 2024 imefanya ziara ya kukutana na Kamati za Maendeleo za Kata kuangalia uteyari wa wananchi na kukagua maeneo yatakayotumika kwenye ujenzi kwa fedha zilizoletwa na Serikali Kuu kiasi cha Shilingi Bilioni 2.22.












Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi