Habari picha na Hashim Jumbe
| Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala |
| Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo akifanya utambulisho kwa Mgeni Rasmi Mhe. Kassim Majaliwa |
| Naibu Meya Manispaa ya Ilala pamoja na Wakuu wa Wilaya kutoka Temeke, Kigamboni na Kinondoni wakifuatilia tukio la kukabidhi kwa vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa shule zenye uhitaji maalum |
| Wanafunzi wa shule yenye uhitaji maalum ya Uhuru Mchanganyiko wakitoa burudani wakati wa shughuli za kukabidhiwa kwa vifaa kwa shule hizo |
| Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknojia, Profesa Joyce Ndalichako akitoa neno la ukaribisho kwa Mgeni Rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa |
| Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa shughuli ya kukabidhi vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa shule zenye uhitaji maalum |
| Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria kukabidhi kwa vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa shule zenye uhitaji maalum |
| Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi vifaa hivyo Afisa Elimu Mkoa wa DSM |
| Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa akikabidhi vifaa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala |