Habari Picha Na: Hashim Jumbe
| Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema akipata maelekezo ya namna ya kuendesha kilimo cha Mjini kinachotumia eneo dogo na kupata mazao mengi, maarufu kama kilimo cha maghorofani |
| Banda la kutolea huduma ya kwanza ni miongoni mwa huduma unazoweza kuzipata ukiwa kwenye banda la maonesho la Nanenane mkoani Morogoro. Huduma kama ya upimaji wa presha utaipata bure. |
| Meya wa Manispaa ya Ilala, Mhe. Charles Kuyeko akipata maelekezo ya namna ya uendeshaji wa Jiji Saccos iliyopo Dar-es-Salaam |
| Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika Bi. Esther Masomhe akimuongoza Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe kutembelea banda la maonesho ya Nanenane la Manispaa ya Ilala |