MWIZI AKAMATWA OFISI ZA ILALA ARNATOGLU MNAZI MMOJA

Mtu asiyefahamika jina wala mahali alikotoka ambaye alidhaniwa kuwa ni mwizi alikamatwa katika ofisi za Manispaa ya Ilala zilizopo katika jengo la Arnotoglu akijaribu kufungua moja ya magari ya wateja katika eneo la maegesho.
Baada ya kugundulika kuwa siye mwenye gari watu walianza kumshambulia kwa kumpa kipigo kikali kiasi cha kuishiwa nguvu kabla ya kuokolewa na askari waliofika na kumkuta akiwa hoi kutokana na kipigo cha wananchi maarufu kama wenye hasira.





Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi