HALMASHAURI
YA MANISPAA YA ILALA

TANGAZO
UTOAJI
WA VIBALI VYA TAKSI (REGISTRATION OF TAXI – CABS AND PRIVATE HIRE VEHICLES) BY – LAW, 1968.
KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA
MANISPAA YA ILALA ANAWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA TAKSI WENYE VITUO VYA
KUEGESHEA NA WANAOFANYA SHUGHULI ZAO KATIKA MAENEO YA MANISPAA YA ILALA KUWA:-
USAJILI
WA TAKSI UTAANZA RASMI TAREHE 01 JULAI, 2014.
HIVYO BASI MNATAKIWA KUFANYA
USAJILI WA TAKSI KATIKA OFISI ZA BIASHARA ARNATOGLOU MNAZI MMOJA KULIPIA:-
(i)
USAJILI
WA GARI TSHS. 20,000/=
(ii)
ADA
YA MAEGESHO TSHS. 36,000/=
(iii)
ADA
YA KITUO TSHS.
5,000/=
JUMLA TSHS. 61,000/=
IELEWEKE WAZI KWAMBA KILA
TAKSI ITASAJILIWA BAADA YA KUONYESHA KUWA NA ENEO LA KUEGESHA.
UKAGUZI RASMI UTAANZA BAADA
YA MWEZI MMOJA KWA TAKSI ZOTE ZINAZOKIUKA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA
UENDESHAJI WA BIASHARA YA TAKSI.
IMETOLEWA NA,
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA
MANISPAA YA ILALA.