Wafanya
usafi wa Kampuni ya Tirima wakiwa na vifaa wanavyovitumia kwenye usafi
wakijiandaa kukaguliwa
|
Timu
ya ukaguzi wa usafi Manispaa ya Ilala ikiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa
Ndugu Isaya M. Mngurumi wakifanya majadiliano kabla ya kuanza ukaguzi
|
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Ilala Ndugu Isaya M. Mngurumi akiongoza ukaguzi wa vifaa vya
usafi vya kampuni ya Green Waste Pro
|