Nyumbani MKURUGENZI MANISPAA YA ILALA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA BARABARA byDar es Salaam City Council -11:49 0 Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Ndugu Isaya M. Mngurumi akikagua sehemu iliyoharibika pembeni mwa barabara ya Umoja wa Mataifa-Upanga Bw.Rogasian Seda na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala wakikagua marekebisho ya ujenzi wa barabara ya Muhimbili Facebook Twitter