MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA

Na: Hashim Jumbe

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kupitia Kitengo chake cha Mazingira imeadhimisha wiki ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi kwenye eneo lenye mikoka Kata ya Upanga Magharibi.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Ndoto bilioni saba Dunia moja tumia rasilimali kwa uangalifu'

Wananchi kutoka mitaa kumi na mbili iliyopitiwa na bonde la mto Msimbazi walishiriki zoezi hilo pamoja na vikundi mbalimbali vya usafi, Madiwani na Watendaji wa Manispaa ya Ilala nao walishiriki zoezi hilo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond Mushi wa pili kushoto pamoja na Madiwani na Watendaji wa Manispaa ya Ilala wakijiandaa na zoezi la usafi katika viwanja vya 


Maafisa wa Manispaa ya Ilala na Madiwani wakishiriki katika zoezi la kuhamasisha usafi walipofanya usafi katika eneo lenye mikoka Kata ya Upanga Magharibi.


Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond Mushi akiwaasa Wananchi wa Manispaa ya Ilala kutumia njia bora za kuhifadhi mazingira katika  wiki ya Mazingira Duniani.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi