Na Neema Njau
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala yaendesha mafunzo ya utumiaji wa vifaa vya kieletroniki vya kukusanyia mapato (POS Mashine) kwa watendaji wa Kata pamoja na watumishi walio katika ofisi za Kata.
Akifungua Mafunzo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala
Bibi Tabu F. Shaibu Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala alitoa wito wa Matumizi sahihi ya mashine za POS ili kuleta tija na ufanisi katika makusanyo ya mapato ya Halmashauri.
Aliendelea kueleza kuwa mafunzo hayo ni Muhimu na yatatatua changamoto mbalimbali zilizokuwa zinajitokeza wakati wa utumiaji wa POS Mashine katika utekelezaji wa majukumu ya kukusanya mapato ya Halmashauri.