WATUMISHI MANISPAA YA ILALA WAZIDI KUHAMASIKA NA UFANYAJI WA MAZOEZI

Na: Hashim Jumbe
Watumishi wa Manispaa ya Ilala wameendelea kuhamasika na ufanyaji wa mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya zao ikiwa ni pamoja nakujiweka mbali na magonjwa yasiyoambukiza. Ratiba ya ufanyaji wa mazoezi kwa Watumishi wa Manispaa ya Ilala ni ya kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 11:30 jioni na Jumamosi ya pili ya kila mwezi Watumishi wa Manispaa ya Ilala hushiriki kwenye ufanyaji wa mazoezi kuanzia saa 12:00 asubuhi ikiwa ni kutekeleza agizo la Makamu wa Rais linaloagiza Watumishi wote wa Halmashauri kushiriki kwenye mazoezi kila Jumamosi ya pili ya mwezi.



















Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi