Picha na George Mwakyembe
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema akipanda mti shule ya Msingi Yangeyange wakati wa maadhimisho ya siku ya upandaji mti maarufu kama mti wangu |
![]() |
Katibu Tawala Mkoa wa Dar-es-Salaam Bi. Theresia Mmbando akishiriki zoezi la upandaji miti kwenye siku ya mti wangu ambapo Kimkoa zoezi la upandaji miti lilifanyika shule ya Msingi Yangeyange |
![]() |
Katibu Tawala Wilaya ya Ilala, Bw. Edward Mpogoro akishiriki zoezi la upandaji shuleni Yangeyange |
![]() |
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Bi. Elizabeth Thomas akiwasilisha taarifa ya zoezi la upandaji miti mbele ya Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema |
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akiongea na Watendaji,Wanafunzi,Wananchi na Wageni mbalimbali waliojitokeza kwenye zoezi la upandaji miti shuleni Yangeyange |