BURIANI ELIAWADH MSANGI, WATUMISHI MANISPAA YA ILALA WATOKWA NA MACHOZI WAKIMUAGA

Na: Hashim Jumbe
Watumishi wa Manispaa ya Ilala pamoja na Madiwani wameungana kumuaga aliyekuwa Mchumi Manispaa ya Ilala, Marehemu Eliawadh Msangi aliyefariki Dunia siku ya Jumanne baada ya kulazwa kwa takribani wiki mbili kwenye hospitali ya Taifa.














Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi