KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA MANISPAA YA ILALA YATEMBELEA MRADI WA DMDP


Na: George Mwakyembe
Kamati ya Mipango miji imefanya ziara na kukagua barabara mpya zilizojengwa na mradi wa DMDP, Barabara hizo ni    barabara ya  Olimpio iliyopo kata  Upanga Mashariki , Barabara za Mbaruku na Omari Londo zilizopo kata ya Gerezani,  Barababra ya Ndanda  iiyopo kata ya   Mchikichini. Pia  kamati  ilitembelea  na kukagua ujenzi wa ofisi za DMDP unaoendelea   pale Mnanzi  Mmoja na  kujionea jinsi jengo hilo ambalo lipo hatua za mwisho kabisa. Kamati  imeridhishwa na ujenzi wa  Jengo hilo pamoja na barabara  zote kuwa  ujenzi wake ni wa kiwango cha juu na kizuri sana. 




Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi