Mstahiki Meya ashiriki uzinduzi wa Maduka ya Darajani Souk

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto leo Februari 18, 2023 ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Maduka 452 ya Kisasa "MADUKA YA DARAJANI SOUK" yaliyopo Darajani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua rasmi


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi