MAFANIKIO IDARA YA ELIMU MSINGI


Kimu afisa Elimu idara ya Elimu Msingi Manispaa ya Ilala Bi. Wema Kajigili akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo juu ya mafanikio ya idara yake kwa kipindi cha 2013/2014. kushoto kwake ni afisa habari Manispaa ya Ilala Bw. David Langa na kulia ni Afisa habari idara ya habari maelezo Bw. Frank Mvungi.
Afisa habari Manispaa ya Ilala Bw. David Langa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo. katikati ni kaimu afisa elimu Bi. Wema Kajigili na kushoto ni Bw. Frank Mvungi, afisa habari idara ya habari Maelezo

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi