Na: Hashim Jumbe
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Bw. Msongela Palela amefungua semina ya Ujasiriamali iliyoendeshwa na Shirika la Viwango nchini Tanzania. Malengo ya Semina hiyo ya siku moja ilikuwa ni kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogowadogo katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika, Bi. Esther Masome akiongea wakati wa semina ya Wajasiriamali iliyoandaliwa na Shirika la Viwango nchini Tanzania |
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Bwana Msongela Nitu Palela akifungua rasmi semina ya Wajasiriamali iliyoandaliwana TBC |
Afisa Biashara wa Manispaa ya Ilala, Bwana Nickas Msemwa akitoa mada wakati wa semina hiyo |