UMITASHUMTA MKOA WA DSM-ILALA WAIFUNGA TEMEKE MPIRA WA MIGUU NA KURUDISHA UBINGWA, MKURUGENZI AWAPONGEZA

Habari picha na Hashim Jumbe



Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Ilala, Bi.Elizaabeth Thomas akifuatilia mchezo wa mpira wa miguu kati ya Ilala na Temeke uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru. Ilala ilishinda goli moja kwa bila






Afisa Michezo Manispaa ya Ilala, Bw. Salum Sanga akiongea na Wachezaji wa timu ya UMITASHUMTA Ilala mara baada ya kumalizika kwa michezo ya leo

Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Ilala, Bi. Elizabeth Thomas akikabidhi zawadi ya Shilingi Laki Tano kwa Mratibu wa Michezo, ikiwa ni ahadi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kwa timu ya Ilala, LakiTano nyengine ilitolewa kwa Walimu wanaosimamia  timu




1 Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi