Habari Katika picha na: Hashim Jumbe-Dodoma
Waheshimiwa Madiwani kutoka Manispaa ya Ilala wakijiandaa kuanza somo la leo ambalo ni usimamizi na udhibiti wa fedha |
Muwezeshaji wa mada ya usimamizi na udhibiti wa fedha kutoka chuo cha Serikali za Mitaa, Bi. Magdalena Katunzi akitoa mada mbele ya Waheshimiwa Madiwani kutoka Manispaa ya Ilala. |
Diwani wa Kata ya Ilala, Mhe. Saady Khimji akifuatilia kwa makini somo la siku ya leo. |