Habari picha na Hashim Jumbe
| Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Ilala, Bi.Elizaabeth Thomas akifuatilia mchezo wa mpira wa miguu kati ya Ilala na Temeke uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru. Ilala ilishinda goli moja kwa bila |
| Afisa Michezo Manispaa ya Ilala, Bw. Salum Sanga akiongea na Wachezaji wa timu ya UMITASHUMTA Ilala mara baada ya kumalizika kwa michezo ya leo |
Ilala oyeeeeeeee.......!!!!
JibuFuta